Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam jana. Private Brian ambaye ni mtoto wa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu alifariki juzi katika hospitali ya Lugalo akipatiwa matibabu.

No comments: