Rais Jakaya Kikwete, Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Othman Chande na Rais wa Chama cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) mjini Arusha jana.

No comments: