Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wakisubiri matibabu kwenye Hopsitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa jana. Rais alikwenda hapo kumjulia hali Balozi wa Tanzania nchini DRC, Anthony Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo. (Picha kwa Hisani ya Freddy Maro).

No comments: