Rais Jakaya Kikwete akiwafariji familia ya Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu nyumbani kwao Kinondoni, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baba mzazi wa marehemu, Salva Rweyemamu na mama mzazi wa marehemu, Bella (wa tatu kushoto). Private Brian anatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi kwenye makaburi ya Kinondoni.

No comments: