Rais Jakaya Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Joseph Kabila, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu, mjini Kinshasha jana. Rais Kikwete alikuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili nchini humo. (Picha kwa hisani ya Fred Maro).

No comments: