Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya AMI, Dar es Salaam mapema leo.

No comments: