Rais Jakaya Kikwete akikabidhi mfano wa kadi ya uanachama wa NSSF kwa mwanachama mpya aliyejiunga na Mpango wa Madini, Emmanuel Ismael kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC, mjini Arusha jana.

No comments: