Rais Jakaya Kikwete akikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 150/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mkoa wa Geita, Jacob Musa (watatu kushoto) na Julitha Sylvester (wa pili kulia). Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk Florence Turuka,Mkurugenzi Mkuu wa TACAIDS, Fatma Mrisho,Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mines, Michael Van Anen,Naibu Waziri wa Afya Dr.Steven Kebwe, na Msimamizi wa kituo cha Moyo wa Huruma Sista Adalbera Mukure. (Picha na Freddy Maro).

No comments: