Ofisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Sebastian Mhowera akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato unatumiwa na manispaa hiyo. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Fatma Salum.

No comments: