Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na uongozi wa Idara Maalumu za SMZ katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014 kwenye ukumbi wa mikutano Ikulu mjini Unguja, jana asubuhi.


No comments: