Abiria waliokuwa wakisafiri katika basi la Princess Muro wakiwa hawajui la kufanya baada ya basi hilo kupinduka kwenye Hifadhi ya Taifa ya Wanyama ya Mikumi, mkoani Morogoro jana.

No comments: