Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk Mahadhi Juma Maalim (MB) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam, Nguyen Phuong Nga, mara baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana. Nguyen yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano.

No comments: