Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akizindua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya Kidato cha Nne na Sita yatakayofanywa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira, jijini Dar es Salaam jana.

No comments: