Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond' akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya kuanza onesho lililoandaliwa na Kituo cha televisheni cha MTV Base, kwenye ukumbi wa Club Billicanas. Diamond ametamba kufanya vizuri kwenye Tuzo za Muziki za MTV.

No comments: