Msanii maarufu wa vichekesho na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Mengere 'Steve Nyerere' (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kuteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa wasanii nje ya Bunge Maalumu jana. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza Nje ya Bunge, Renatus Muadhi (kulia) na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Augustino Matefu.

No comments: