Mlezi wa Chama cha Wake wa Viongozi, Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya Shilingi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kituo cha Kuendeleza Vipaji vya Vijana (THT), Mwita Mwaikenda, kwa ajili ya kusaidia elimu kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi (albino). Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho, Germina Lukuvi.

No comments: