Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu ambaye ni mwenye shamba akipata maelezo kutoka kwa Afisa Kilimo wa wilaya hiyo, Yibarik Chiza, aliyemtembelea mkuu huyo wa wilaya shambani kwake jana.

No comments: