Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dk Rajab Mtumwa Rutengwe jana, kabla ya kuukabidhi kwa mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Iddi Hassan Kimanta tayari kwa kuanza mbio zake kwenye wilaya hiyo.

No comments: