Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu na mkewe, Bella wakiweka shada la maua juu ya kaburi la mtoto wao, Private Brian, aliyezikwa jana kwenye makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.

No comments: