Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kanisa la KKKT Jimbo la Hai. CRDB ilichangia Shilingi milioni 20 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

No comments: