Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi moja ya madawati 100 na viti 100 Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Mgenihaji, Ali Mohammed Nassor katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya skuli hiyo. Kulia ni Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Mohammed Raza, ambaye aliwasilisha madawati hayo yaliyotolewa na  Abdulhamid Mohammed Ali Mhoma.

No comments: