Mkaguzi kutoka Sumatra akiongea na madereva na makondakta wa daladala waliogoma kuhusu kukubaliana na madereva hao watumie barabara kuu wakati mamlaka husika zikiendelea kushughulika na utaratibu wakutengeneza barabara za ndani ambazo waliamriwa kuzitumia hapo awali.

No comments: