Michepuko kweli sio dili!! Daladala lifanyalo safari zake kati ya Kawe na Mbagala Rangi Tatu likiwa limenasa kwenye mtaro eneo la Kinondoni Morocco jana, wakati dereva wa basi hilo alipokuwa kwenye harakati za kuchepuka kuepuka foleni ya magari yaliyokuwa yamezuiwa na askari wa usalama barabarani.

No comments: