Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Dk John Gurisha akitambulisha wajumbe katika mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP - Public and Private Partnership) uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Kutoka kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Smythies Pangisa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhandisi Stella Manyanya.

No comments: