Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji akizungumza na wananchi wa kijiji cha Uhamaka wakati wa ziara yake ya kutembelea maeneo mbalimbali jimboni mwake kuhamasisha na kukagua shughuli za maendeleo.

No comments: