Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia) akipokewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi ya African Trade Insurance Agency (ATI) George Otieno baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa 14 wa wanahisa wa taasisi hiyo, Dar es Salaam leo.

No comments: