KUMBE 1X3 NI SAWA NA 3X1Mwanafunzi mdadisi kambana mwalimu wake wa Hisabati kwenye kona na mambo yakawa hivi. MWANAFUNZI: Mwalimu, umesema 3X1 ni sawa na 1X3? MWALIMU: Haswaa, umenielewa vizuri kabisa. MWANAFUNZI: Kwahiyo basi nikibadili dozi ya malaria iliyoandikwa 1X3 badala yake ninywe 3X1 ni sawa tu!! Kasheshe…

No comments: