Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Servacious Likwelile akisaini mkataba wa msaada wa Shilingi bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Filberto Sebregond.

No comments: