Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akipokea fomu za kuwania tena nafasi ya ukatibu mkuu wa chama hicho kutoka kwa Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi, Ussi Juma Hassan (kulia), kwenye Ofisi Kuu za Chama hicho za Kilimahewa, Wilaya ya Magharibi.

No comments: