Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kalambo ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Iddi Kimanta akitoa maelezo mafupi kuhusu kitanda cha kujifungulia wazazi kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda baada ya kuzindua wodi hiyo ya wazazi ya Samazi katika mwambao wa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa.

No comments: