Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Jema Msuya (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10 kwa Naibu IGP, Abrahaman Kaniki (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa TPB katika ujenzi wa Kituo cha Polisi Darajani B Segerea Dar es Salaam. Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum,Kamishna, Suleiman Kova.

No comments: