Eneo la Soko la Buguruni Dar es Salaam likiwa limezungukwa na Lundo kubwa la takataka huku wafanyabiashara wakiwa wanaenderea Shughuli zao jambo ambalo ni hatari kwa Afya zao na kwa wateja wanao nunua bidhaa hapo.

No comments: