Basi la Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) likiwa limepinduka ubavu aneo la Tabata Shule mkabala na Kituo cha Polisi Tabata na kujeruhi abiria kadhaa jana usiku. Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wakazi wengi wa Dar es Salaam kuhusu umakini katika kuajiri madereva wa mabasi hayo kutokana na uwezo mdogo na uvunjaji mkubwa wa sheria unaofanywa na madereva wa UDA.

No comments: