Balozi Mdogo wa China Zanzibar, Kie Yunliang (wa tatu kushoto) akitoa maelekezo kwa baadhi ya viongozi wa wizara ya Afya walioongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk Mohammed Jidawi kabla ya utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa ICU mpya ya kisasa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Zanzibar.

No comments: