Baadhi ya wananchi waliohudhuria kumbukumbu ya miaka 18 tangu ilipotokea ajali ya meli ya Mv Bukoba kwenye Ziwa Victoria na kuua zaidi ya watu 1,000, wakiweka mashada ya maua na kuwasha mishumaa kwenye makuburi ya wapendwa wao jijini Mwanza jana.

No comments: