Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Magole, iliyopo  wilaya ya  Kilosa, Mkoani Morogoro ,juzi wakiwa wameketi kwenye  dawati yaliyotolewa msaada na Benki ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Morogoro, Majengo ya shule hiyo yameharibiwa na mafuriko ya mvua  , ambapo wanafunzi kwa sasa wanasomea katika vyumba vya majengo ya shule ya Sekondari Magole.

No comments: