Wakazi wa Dar es Salaam wakitoka upande wa Magomeni kuelekea katikati ya jiji kwa miguu kupitia eneo la Jangwani baada ya barabara hiyo kufungwa kwa matumizi ya magari kutokana na uharibifu uliosababishwa na mvua iliyonyesha mwishoni mwa wiki.

No comments: