Wafanyakazi wa benki ya CBA wakigawa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo cha kulea watoto yatima cha Malaika Dar es Salaam jana kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka inayoadhimishwa duniani kote leo.

No comments: