Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Mwanga mara baada ya hafla ya kumuaga rasmi Cleopa Msuya (wa tatu kulia waliokaa) aliyetangaza rasmi kustaafu siasa baada ya kutumikia kwa miaka 33. Hafla hiyo ilifanyika katika Ofisi ya CCM wilayani humo. (Picha kwa Hisani ya Issa Michuzi).

No comments: