Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange na Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (kulia) wakati wa Maashimisho ya Miaka 50 ya Muungano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein.

No comments: