Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi na makamanda waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu 2069 kwa ajili ya matumizi katika maktaba za jeshi.Vitabu hivyo ni mchango binafsi wa Rais Katika kuboresha mafunzo ya kisasa jeshini. (Picha na Freddy Maro)

No comments: