Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Seif Rashid akisikiliza maelezo kutoka kwa Mshauri wa Masuala ya Afya wa kampuni ya Mafuta ya BG Tanzania, Dk Gerald Lenjima kuhusu namna kampuni hiyo inavyopambana na ugonjwa wa malaria. Katikati anayetazama ni Mshauri wa Masuala ya Afya wa kampuni hiyo Afrika Mashariki, John Wijnberg. Siku ya malaria nchini iliadhimishwa juzi.

No comments: