Mzee Kassim Msem akimkabidhi kigoda Cleopa Msuya kama ishara ya kumkaribisha rasmi kijijini baada ya Waziri Mkuu huyo wa zamani kutangaza kustaafu siasa baada ya kutumikia kwa miaka 33.

No comments: