Mpigaji gitaa la solo mahiri nchini na kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma Music, Said Mabera akisaidiwa kutoka kaburini mara baada ya kumalizika kazi ya uchimbaji tayari kwa maziko ya mkongwe wa muziki, Marehemu Muhidin Maalim Gurumo, kijijini kwake huko Kisarawe mkoani Pwani jana.

No comments: