Mkuu wa Idara ya Udhibiti na Tahadhari wa Bank Of Africa (BOA) Tanzania, Mwanahiba Mzee akimpatia chakula, Nelson Mwijage kwa ajili ya mgonjwa wake Gilbert Mutalemwa (aliyelala) katika Hospitali ya ya CCBRT, mjini Dar es Salaam wiki hii. Benki hiyo iliandaa chakula cha mchana na kula pamoja na wagonjwa katika hospitali hiyo kama njia ya kusherehekea nao sikukuu ya Pasaka

No comments: