Mkurugenzi wa Tehama wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Phares Magesa (katikati) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Phaeros ya Nchini Ubelgiji, Stan De Smet wakitiliana saini makubaliano ya uwrkaji mfumo wa kieletroniki ambao utasaidia kasi ya upakuaji na uondoaji mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya uwezeshaji, Otieno Igogo.

No comments: