Mkurugenzi wa Chuo cha Utawala wa Umma cha Zanzibar, Arusi Masheko Ally (kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini, Dk. Bernard Archiula (kushoto kwake) wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya vyuo hivyo, Dar es Salaam jana.

No comments: