Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk. Mwele Malecela akichangia mada wakati wa Kongamano la Wanasayansi Watafiti uliomalizika jana jijini Dar es Salaam. Watafiti mbalimbali walikuwa wakiwasilisha ripoti za utafiti wao na kujadiliwa kwa pamoja.

No comments: