Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa magonjwa ya binadamu (NIMR), Dk. Mwele Malecela akizunumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana kuhusu kufanyika kwa kongamano la siku tatu la 28 la sayansi la taasisi hiyo linalotarajiwa kuanza leo jijini humo. Mwingine ni Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti wa taasisi hiyo, Dk. Julius Massaga.

No comments: