Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (kushoto), akiteta jambo na watendaji wakuu wa shirika hilo, baada ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Baraza la wafanyakazi uliofanyika Dar es Salaam juzi kupanga mikakati mbalimbali na kupitisha bajeti ya mwaka 2014/15. Katikati ni Mkurugenzi Uendeshaji, Creascentius Magori, Meneja Miradi wa NSSF, John Msemo (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa miradi, Yakob Kidula na Meneja Kiongozi wa Mahusiano na Huduma kwa Wateja, Eunice Chiume.

No comments: